ZADIEU
Musiciens du groupe : WANAINCHI.Ent
Site web : youtu.be/hCC_UpbiDzg?t=5
30 affichages
Dernière connexion : 09-09-2018
Concerts
Pas de concert prévuBiographie
mashabiki wengi wa muziki wa Buja fleva tunamjua ZADIEU kama muundaji Wa WANAINCHI meneja wa WANAINCHI.Ent wasanii kama Frank Duniano, slay,
wengineo wote wapo chini ya management yake ZADIEU...
ila bosi baada ya kupata kauchochoro WANAINCHI.Ent kaamua kuitelekeza kabisa team yake ya zamani YOUNG CRAZY kukomaa na WEnt kuwa pamoja ...
na vijana wengi wenye vipaji mbali mbali kama KACHA PARTY, TOMSON JAY,DOG J GANG JAY, WAKICHULA Producer CHILD Promotional nawengine wengi
kiukweli aya ni mamuzi mazuri ya busara amefanya kwa maisha yake pia kwa inchi yake...mahana vijana wengi waleo wanashindwa kufanya maendeleo kwa kujkosa ushirikiyano
Apo mwanzo walimshangaa ZADIEU ila now wameelewa kama lile wazo lake la zamani lililo kuwa kama ndoto limekamilika
pata mengi kup[itiya https://youtu.be/hCC_UpbiDzg