- Divers (1)
Gerald Crosby
Tangazo kwa ma fans wa Camino Swift
Vendredi 20 Mai 2016 à 23h17
Jambo ndugu zangu! Mungu awe nanyi mahali popote mulipo. Ningependa niwafahamishe ma fans wangu ya kwamba mimi si lali bali niko naifanya kazi ambayo siyo nyepesi. Mwisho wa siku mukuja kupata song yetu ya kwanza kutoka ndani ya kundi ya CAMINO SWIFT. Ajouter un commentaire